Matangazo
TANGAZO LA MNADA WA MAGARI
Jamhuri ya Muungano wa Tanzania
Ofisi ya Rais
MFUKO WA MAENDELEO YA JAMII - TASAF
TANGAZO KWA UMMA
UONGOZI WA TASAF
UNAWAJULISHA WANANCHI
WOTE KWAMBA;
MNADA WA MAGARI
ULIOKUWA UFANYIKE TAREHE
07.09.2022 UMEAHIRISHWA
HADI PALE MTAKAPOJULISWA
TENA
UONGOZI UNAOMBA RADHI
KWA USUMBUFU ULIOTOKEA.