Jamhuri ya Muungano wa Tanzania

Ofisi ya Rais - Ikulu

Mfuko wa Maendeleo ya Jamii

Habari

Salamu za Rambirambi


Kamati ya Taifa ya Uongozi, Menejimenti na Wafanyakazi wa Mfuko wa Maendeleo ya Jamii - TASAF wanaungana na Watanzania wote kumpa pole Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Samia Suluhu Hassan na familia ya marehemu kwa kifo cha aliyekuwa Rais wa Awamu ya Tano, Hayati Dkt. John Pombe Joseph Magufuli.

Mwenyezi Mungu ailaze roho ya marehemu mahala pema. Bwana alitoa na Bwana ametwaa. Jina la Bwana libarikiwe.