Jamhuri ya Muungano wa Tanzania

Ofisi ya Rais - Ikulu

Mfuko wa Maendeleo ya Jamii

Habari

Salamu za Pongezi


Kamati ya Taifa ya Uongozi, Menejimenti na Wafanyakazi wa Mfuko wa Maendeleo ya Jamii - TASAF wanatoa pongezi za dhati kwa Mhe. Samia Suluhu Hassan kwa kuapishwa kuwa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania.