Ziara ya Mhe. Waziri na Naibu Waziri katika Ofisi za TASAF
Ziara ya Mhe. Waziri na Naibu Waziri katika Ofisi za TASAF
Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais Menejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora Mhe. Ridhiwani Kikwete pamoja na Naibu Waziri Mhe.Regina Ndege Qwaray walifanya ziara ya kujitambilisha katika ofisi za TASAF