Maktaba ya Picha
-
Waziri Simbachawene ziarani Geita kukagua shughuli za TASAF
Imewekwa : September, 17, 2023
-
TASAF katika Maonesho ya Kilimo ya Nanenane Mbeya 2023
Imewekwa : August, 17, 2023
-
Waziri Simbachawene atembelea ofisi za TASAF July 13, 2023
Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais Menejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora, Mhe. George Simbachawene alipotembelea Ofisi za TASAF jijini Dar es Salaam na kuzungumza na watendaji wa Mfuko huo.
Imewekwa : July, 17, 2023
-
Ziara ya Balozi wa Uingereza nchini Tanzania Mhe. David Concar kutembelea miradi ya TASAF katika Kijiji cha Ikombolinga Willayani Chamwino, Dodoma tarehe 1 Juni, 2023
Balozi wa Uingereza nchini Tanzania Mhe. David Concar ametembelea na kushuhudia baadhi ya miradi wilayani Chamwino kuangalia uhawilishaji fedha kwa walengwa wa TASAF katika kuwasaidia kujikwamua kiuchumi na miradi mingine ikiwemo bwawa la Nyikani lenye lengo la kusaidia jamii za vijijini. Balozi alifurahishwa sana na jinsi miradi hiyo inavyowafikia wahusika
Imewekwa : June, 06, 2023
-
Wanufaika wa TASAF katika shughuli zao
Imewekwa : May, 24, 2023
-
Kikao Kazi cha Wadau kupokea maoni kuhusu ushirikishwaji wa watu wenye ulemavu kwenye Mpango wa Kunusuru Kaya za Walengwa
Kikao kazi cha wadau kwa ajili ya kupokea maoni kuhusu ushirikishwaji wa watu wenye ulemavu kwenye Mpango wa Kunusuru Kaya za Walengwa uliofanyika kwenye ofisi za TASAF jijini Dar es Salaam tarehe 13 Aprili, 2023.
Imewekwa : April, 14, 2023
-
Naibu Waziri Kikwete atembelea ofisi za TASAF March 28, 2023
Naibu Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais Menejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora, Mhe. Ridhiwani Kikwete alipotembelea ofisi ndogo ya Makao Makuu ya TASAF jijini Dar es Salaam na kuzungumza na watendaji wa Mfuko huo
Imewekwa : March, 29, 2023
-
Salamu za Pongezi
Imewekwa : January, 11, 2023
-
Wadau wa Maendeleo wafanya Ziara Wilayani Longido kukagua miradi ya TASAF na kuzungumza na walengwa
Imewekwa : January, 11, 2023
-
Waziri Mhagama atembelea ofisi za TASAF Desemba 13, 2022
Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais Menejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora, Mhe. Jenista Mhagama alipotembelea ofisi ndogo ya Makao Makuu ya TASAF jijini Dar es Salaam na kuzungumza na watendaji wa Mfuko huo kuhusu utendaji wa kazi zao.
Imewekwa : December, 15, 2022
-
Walengwa wa TASAF Busokelo Wanufaika na Mpango wa Ajira Muda
Mpango wa Ajira za Muda wa TASAF umekuwa wa manufaa sana kwa walengwa wa Mpango wa Kunusuru Kaya Maskini katika Halmashauri ya Busokelo. Licha ya kupata kivuko cha waenda kwa miguu, kupitia miradi hiyo walengwa wameanzisha kilimo cha umwagiliaji kama kama inavyoonekana katika habari picha
Imewekwa : November, 15, 2022