Maktaba ya Picha
-
Wanufaika wa TASAF katika shughuli zao
Imewekwa : May, 24, 2023
-
Kikao Kazi cha Wadau kupokea maoni kuhusu ushirikishwaji wa watu wenye ulemavu kwenye Mpango wa Kunusuru Kaya za Walengwa
Kikao kazi cha wadau kwa ajili ya kupokea maoni kuhusu ushirikishwaji wa watu wenye ulemavu kwenye Mpango wa Kunusuru Kaya za Walengwa uliofanyika kwenye ofisi za TASAF jijini Dar es Salaam tarehe 13 Aprili, 2023.
Imewekwa : April, 14, 2023
-
Naibu Waziri Kikwete atembelea ofisi za TASAF March 28, 2023
Naibu Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais Menejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora, Mhe. Ridhiwani Kikwete alipotembelea ofisi ndogo ya Makao Makuu ya TASAF jijini Dar es Salaam na kuzungumza na watendaji wa Mfuko huo
Imewekwa : March, 29, 2023
-
Salamu za Pongezi
Imewekwa : January, 11, 2023
-
Wadau wa Maendeleo wafanya Ziara Wilayani Longido kukagua miradi ya TASAF na kuzungumza na walengwa
Imewekwa : January, 11, 2023
-
Waziri Mhagama atembelea ofisi za TASAF Desemba 13, 2022
Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais Menejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora, Mhe. Jenista Mhagama alipotembelea ofisi ndogo ya Makao Makuu ya TASAF jijini Dar es Salaam na kuzungumza na watendaji wa Mfuko huo kuhusu utendaji wa kazi zao.
Imewekwa : December, 15, 2022
-
Walengwa wa TASAF Busokelo Wanufaika na Mpango wa Ajira Muda
Mpango wa Ajira za Muda wa TASAF umekuwa wa manufaa sana kwa walengwa wa Mpango wa Kunusuru Kaya Maskini katika Halmashauri ya Busokelo. Licha ya kupata kivuko cha waenda kwa miguu, kupitia miradi hiyo walengwa wameanzisha kilimo cha umwagiliaji kama kama inavyoonekana katika habari picha
Imewekwa : November, 15, 2022
-
Uzinduzi wa Kamati ya Taifa ya Uongozi TASAF
Imewekwa : October, 01, 2022
-
Habari katika Picha
Imewekwa : July, 24, 2021
-
Salaam za Rambirambi
Kamati ya Taifa ya Uongozi, Menejimenti na Wafanyakazi wa Mfuko wa Maendeleo ya Jamii - TASAF wanaungana na Watanzania wote kumpa pole Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Samia Suluhu Hassan na familia ya marehemu kwa kifo cha aliyekuwa Rais wa Awamu ya Tano, Hayati Dkt. John Pombe Joseph Magufuli.
Imewekwa : March, 23, 2021
-
Uzinduzi wa Kipindi cha Pili cha Awamu ya Tatu ya PSSN
Imewekwa : June, 26, 2020