Habari
Ujasiriamali wa Walengwa

Amani Group kikundi cha wanufaika wa TASAF kilicho chini ya mpango wa akiba na uwekezaji, wakionesha bidhaa zao wakati wadau wa maendeleo walipotembelea miradi ya wanufaika hao wa TASAF katika kijiji cha Kongo wilayani Bagamoyo