Habari
Kikao Kazi cha Kuzindua Utekelezaji wa Awamu ya Nne ya Mradi wa Kupunguza Umaskini Tanzania kwa Viongozi na Watendaji

Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais Menejiment ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora Mhe. Mohamed Mchengerwa akizungumza na washiriki wa kikao kazi wakati wa uzinduzi wa awamu ya nne ya mradi wa kupunguza umaskini Tanzania.
Mkurugenzi Mtendaji Bw. Ladislaus Mwamanga akieleza madhumuni ya kikao kazi wakati wa uzinduzi wa awamu ya nne ya mradi wa kupunguza umaskini Tanzania uliofanyika katia ukumbi wa Mkuu wa Mkoa Arusha
Mkuu wa Mkoa wa Arusha Mhe. John Mongella akitoa neno la ukaribisho kwa washiriki wa kikao kazi cha kuzindua utekelezaji wa awamu ya nne ya mradi wa kupunguza umaskini Tanzania
Baadhi ya washiriki wa kikao kazi wakimsikiliza Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais Menejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora Mhe. Mohamed Mchengerwa (hayupo pichani) alipozungumza nao katika ukumbi wa Mkuu wa Mkoa wa Arusha
Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais Menejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora Mhe. Mohamed Mchengerwa (aliyeketi katikati) akiwa katika picha ya pamoja na Waratibu wa TASAF mkoa wa Arusha
Meneja wa Miradi ya Ajira za Muda na Miundombinu Ndg. Paul Kijazi akitoa taarifa fupi kuhusu mradi wa kupunguza umaskini awamu ya nne kwa washiriki wa kikao kazi hicho (hawapo pichani)