Habari
Uzinduzi wa Awamu ya Nne ya Mradi wa Kupunguza Umaskini Tanzania kwa Viongozi na Watendaji mkoa wa Simiyu

Mkurugenzi Mtendaji wa Mfuko wa Maendeleo ya Jamii - TASAF Bw. Ladislaus Mwamanga, akitoa maelezo ya Awamu ya Nne ya Mradi wa Kupunguza Umaskini Tanzania (TPRP IV) kwa Viongozi na Watendaji katika Mkoa wa Simiyu.
Kaimu Mkuu wa Mkoa wa Simiyu Bw. Lupakisyo Kapange, akihutubia wakati wa ufunguzi wa Kikao Kazi cha Uzinduzi wa Utekelezaji wa Awamu ya nne ya Mradi wa Kupunguza umaskini Tanzania (TPRP IV) kwa Viongozi na Watendaji katika Mkoa wa Simiyu.
Washiriki waliohudhuria uzinduzi wa Utekelezaji wa Awamu ya nne ya Mradi wa Kupunguza umaskini Tanzania (TPRP IV). Mkoa wa Simiyu.
Kaimu Mkuu wa Mkoa wa Simiyu Bw. Lupakisyo Kapange, (mwenye suti nyeusi mbele) na waratibu na wahasibu wa mpango wakati wa uzinduzi wa Utekelezaji wa Awamu ya nne ya Mradi wa Kupunguza umaskini Tanzania (TPRP IV) katika Mkoa wa Simiyu.