Jamhuri ya Muungano wa Tanzania

Ofisi ya Rais - Ikulu

Mfuko wa Maendeleo ya Jamii

Habari

Maonesho ya Mifuko na Programu za Uwezeshaji Wananchi Kiuchumi katika Kiwanja cha Jamhuri, Manispaa ya Morogoro


Mkuu wa Wilaya ya Mvomero Mhe. Halima Okash akipokea zawadi kutoka kwa Mkurugenzi wa Mifumo Ufuatiliaji na Mawasiliano wa Mfuko wa Maendeleo ya Jamii – TASAF Bw. Fariji Mishael.

 

Mkuu wa Wilaya ya Mvomero Mhe. Halima Okash akipokea zawadi ya Pambo la Ufinyanzi kutoka kwa Mnufaika wa Mfuko wa Maendeleo ya Jamii – TASAF Bi. Halima Juma Shamte

 

Mkuu wa Wilaya ya Mvomero Mhe. Halima Okash akipatamaelezo ya bidha za Ufinyanzi kutoka kwa Mnufaika wa Mfuko wa Maendeleo ya Jamii – TASAF Bi. Halima Juma Shamte

 

Afisa Msaidizi anayeshughulikia Malalamiko wa Mfuko wa Maendeleo ya Jamii – Bi. Hulka Gervas akitoa maelezo kwa Mwananchi aliyetembelea Banda la TASAF.