Habari
Mkutano wa Mapitio ya Utekelezaji wa Mpango wa TASAF Kipindi cha Pili

Mkurugenzi wa Ukaguzi wa Ndani TASAF Bw. Shedrack Mziray akiwa na Kiongozi wa Shughuli za TASAF nchini Tanzania Bi. Claudia Taibo kutoka Benki ya Dunia wakati wa ufunguzi wa Mkutano wa Mapitio ya Utekelezaji wa Mpango wa TASAF Kipindi cha Pili uliofanyika katika ukumbi wa mikutano jijini Dar es Salaam
Sehemu ya washiriki wakifuatilia hoja mbalimbali zikiwasilishwa