Habari
Naibu Waziri asisitiza Walengwa kujiunga katika Vikundi na kuanzisha miradi ya pamoja

Naibu Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais Menejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora, Mhe Deogratius Ndejembi akizungumza na walengwa wa Mpango katika Kijiji cha Solya Wilayani Manyoni katika Mkoa wa Singida
Bi.Sarah Mangwaya kutoka Kijiji cha Solya Wilayani Manyoni katika Mkoa wa Singida.akitoa ushuhuda mbele ya Naibu Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais Menejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora, Mhe. Deogratius Ndejembi.
Mratibu wa Mpango wa Kunusuru Kaya za Walengwa Bw. Christopher Kui akisoma taarifa ya utekelezaji wa Mpango katika Kijiji cha Solya Wilayani Manyoni katika Mkoa wa Singida.