Habari
Rais Samia akabidhi vitendea kazi kwa Mamlaka za Maeneo ya Utekelezaji wa Shughuli za TASAF - Tanzania Bara na Zanzibar

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe Samia Suluhu Hassan akitihutubia katika Hafla ya kukabidhi magari kwa Mamlaka ya Maeneo ya utekelezaji kwa shughuli za TASAF Tanzania Bara na Zanzibar zilizofanyika katika viwanja vya Posta Kijitomyama Jijini Dar es Salaam
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe Samia Suluhu Hassan akimsikiliza Mnufaika wa Mpango katika Hafla ya kukabidhi magari kwa Mamlaka ya Maeneo ya utekelezaji kwa shughuli za TASAF Tanzania Bara na Zanzibar. Zilizofanyika katika viwanja vya Posta Kijitomyama Jijini Dar es Salaam
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe Samia Suluhu Hassan akikagua magari kabla ya. kuyakabidhi magari kwa Mamlaka ya Maeneo ya utekelezaji kwa shughuli za TASAF Tanzania Bara na Zanzibar. Zilizofanyika katika viwanja vya Posta Kijitomyama Jijini Dar es Salaam
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe Samia Suluhu Hassan akikata utepe kama ishara ya. kukabidhi magari kwa Mamlaka ya Maeneo ya utekelezaji kwa shughuli za TASAF Tanzania Bara na Zanzibar. Zilizofanyika katika viwanja vya Posta Kijitomyama Jijini Dar es Salaam
Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais Manejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora, Mhe. Jenista Mhagama akihutubia katika Hafla ya kukabidhi magari kwa Mamlaka ya Maeneo ya utekelezaji kwa shughuli za TASAF Tanzania Bara na Zanzibar
Mkurugenzi Mtendaji wa Mfuko wa Maendeleo ya Jamii – TASAF akihutubia katika Hafla ya kukabidhi magari kwa Mamlaka ya Maeneo ya utekelezaji kwa shughuli za TASAF Tanzania Bara na Zanzibar