Habari
Rais Samia azindua Ukumbi wa Mitihani Skuli ya Kizimkazi Dimbani Mkoa wa Kusini Unguja

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan (katikati) akipata maelezo ya mradi kutoka kwa Katibu Mkuu Ofisi ya Makamu wa Pili wa Rais Sera, Uratibu na Baraza la Wawakilishi Bw. Thabit Idarous Faina (kushoto) wakati wa uzinduzi wa ukumbi wa mitihani skuli ya Kizimkazi Dimbani mkoa wa kusini Unguja
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akizindua ukumbi wa mitihani skuli ya Kizimkazi Dimbani mkoa wa kusini Unguja
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe Samia Suluhu Hassan akikata utepe kama ishara ya kuzindua ukumbi wa mitihani skuli ya Kizimkazi Dimbani mkoa wa kusini Unguja
Naibu Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais Menejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora Mhe. Deogratius Dejembi (katikati) akiwa katika picha ya pamoja na baadhi ya viongozi mara baada ya uzinduzi wa ukumbi wa mitihani skuli ya Kizimkazi Dimbani mkoa wa kusini Unguja