the minutes and a sub-counter with the seconds. It is made of solid gold, but also their special styles bring a new echo to public and review modern ladies watches design. www.paneraireplica.co hublot replicas watches rolex deepsea replica The white lacquered dial in the upper right quarter of the watch features a blue minute track on the outside and printed roman numerals in black all around. replica iwcs breguet replica The Maurice Lacroix logo at 12 oclock is crisp and adds a finishing touch to the small dial. Just below the main dial is a small seconds indicator with another one of those bulky looking hands.

TASAF | Habari
Jamhuri ya Muungano wa Tanzania

Ofisi ya Rais - Ikulu

Mfuko wa Maendeleo ya Jamii

Habari

Simbachawene aweka jiwe la msingi ujenzi wa kituo cha afya Uzi


Waziri wa Nchi Ofisi ya Waziri Mkuu, Sera, Bunge na Uratibu wa Serikali ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. George Boniface Simbachawene ameweka Jiwe la Msingi kwenye Ujenzi wa Kituo cha Afya katika Shehia za Uzi iliyoko Wilaya ya Kusini, Mkoa wa Kusini Unguja. Uwekaji wa Jiwe la Msingi ikiwa ni mojawapo ya shamrashamra za Maadhimisho ya Miaka 59 ya Mapinduzi Matukufu ya Zanzibar.

Waziri wa Nchi Ofisi ya Waziri Mkuu, Sera, Bunge na Uratibu wa Serikali ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. George Boniface Simbachawene akisikiliza maelezo ya mchoro wa kituo cha afya kutoka kwa Mhandisi Ali Makame Ali

Mkurugenzi Mtendaji wa TASAF Bw. Ladislaus Mwamanga akielezea jinsi Mfuko huo ulivyoshiriki katika ukamilishaji wa ujenzi wa majengo ya Kituo hicho cha Afya

Waziri Simbachawene akiwa katika picha ya pamoja na Viongozi na Watumishi wa Ofisi ya Makamu wa Pili ya Rais