Habari
TASAF yapata Tuzo ya nafasi ya Kwanza katika Maonesho ya Mifuko na Programu za Uwezeshaji Wananchi Kiuchumi yaliyofanyika katika Kiwanja cha Mwanga Community Centre, Kigoma

Mkuu wa Mkoa wa Kigoma Mhe. Thobias Andengenye akimkabidhi Tuzo ya mshindi wa Kwanza Mwakilishi wa Mkurugenzi Mtendaji wa TASAF Afisa Miradi - Kitengo cha Kuweka Akiba na Kukuza Uchumi wa Kaya Bw. Yohanes Nchimbi
Mkuu wa Mkoa wa Kigoma Mhe. Thobias Andengenye akimsikiliza Mnufaika wa Mfuko wa Maendeleo ya Jamii - TASAF Bi. Asia Jaffari
Wafanyakazi na wanufaika wa Mfuko wa Maendeleo ya Jamii – TASAF wakiwa na cheti cha ushindi wa Maonesho ya Mifuko na Programu za Uwezeshaji Wananchi Kiuchumi yaliyofanyika katika Kiwanja cha Mwanga Community Centre, Kigoma.