Habari
TASAF yapata Tuzo ya nafasi ya Tatu kwa Mifuko ya Hifadhi ya Jamii inayohudumu Nchini katika Maonesho ya Mifuko na Programu za Uwezeshaji Wananchi Kiuchumi katika Kiwanja cha Jamhuri, Manispaa ya Morogoro

Waziri wa Uwekezaji, Viwanda na Biashara Mhe. Dkt Ashatu Kachwamba Kijaji akimkabidhi Tuzo ya Mshindi wa Tatu Mwakilishi wa Mkurugenzi Mtendaji wa TASAF Meneja wa Uhawilishaji Fedha Bw. Selemani Masala
Waziri wa Uwekezaji, Viwanda na Biashara, Mhe. Dkt. Ashatu Kachwamba Kijaji akimsikiliza Mnufaika wa Mfuko wa Maendeleo ya Jamii - TASAF Bi. Lulu Ngoma.
Mwakilishi wa Mkurugenzi Mtendaji wa TASAF Meneja wa Uhawilishaji Fedha Bw. Selemani Masala Pamoja na wafanyakazi na wanufaika wa Mfuko wa Maendeleo ya Jamii - TASAF
Wafanyakazi na wanufaika wa Mfuko wa Maendeleo ya Jamii – TASAF wakifurahia baada ya ushindi.