Habari
TASAF yashiriki Maonesho ya Wiki ya Huduma za Fedha jijini Arusha

TASAF inashiriki Maonesho ya Wiki ya Huduma za Fedha yanayofanyika katika Viwanja vya Sheikh Amri Abeid Jijini Arusha 20-26 Novemba, 2023. Watumishi wa TASAF wanatoa maelezo na kujibu maswali kuhusu Utekelezaji wa Shughuli za TASAF
Walengwa wa TASAF wanaoshiriki Maonesho ya Wiki ya Huduma za Fedha yanayoendelea katika Viwanja vya Sheikh Amri Abeid katika Jiji la Arusha wanaonyesha na kuuza bidhaa mbalimbali wanazotengeneza na kuongeza kipato