Habari
Ujumbe wa Viongozi Waandamizi wa Benki ya Dunia watembelea wanufaika wa TASAF katika Manispaa ya Temeke

Ujumbe wa viongozi waandamizi wa Benki ya Dunia wakiongozwa na Mkurugenzi Mtendaji wa Sera za Maendeleo na Ubia Prof Mari Pangestu ukiwasili katika viwanja vya Shule ya Msingi Nzasa, Manispaa ya Temeke.
Mkurugenzi Mtendaji wa Sera za Maendeleo na Ubia Prof Mari Pangestu aki saini kitabu cha Wageni katika viwanja vya Shule ya Msingi Nzasa A, Manispaa ya Temeke
Mkurugenzi Mtendaji wa Manispaa ya Temeke Bw Elihuruma Mabelya akitoa neneo la ukaribisho wakati wa ziara ya viongozi waandamizi wa kutoka Benki ya Dunia katika Wilaya hiyo.
Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais Menejiment ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora Mhe. Mohamed Mchengerwa akizungumza na wanufaika wa TASAF wakati wa ziara ya viongozi waandamizi wa kutoka Benki ya Dunia
Mkurugenzi Mtendaji wa Sera za Maendeleo na Ubia wa Benki ya Dunia Prof Mari Pangestu akizungumza na Wanufaika wa TASAF
Mkurugenzi Mtendaji wa Sera za Maendeleo na Ubia wa Benki ya Dunia Prof Mari Pangestu akinunua bidhaa za Wanufaika wa TASAF
Mkurugenzi Mtendaji wa Sera za Maendeleo na Ubia wa Benki ya Dunia Prof Mari Pangestu akiwaaga Wanufaika wa TASAF.