the minutes and a sub-counter with the seconds. It is made of solid gold, but also their special styles bring a new echo to public and review modern ladies watches design. www.paneraireplica.co hublot replicas watches rolex deepsea replica The white lacquered dial in the upper right quarter of the watch features a blue minute track on the outside and printed roman numerals in black all around. replica iwcs breguet replica The Maurice Lacroix logo at 12 oclock is crisp and adds a finishing touch to the small dial. Just below the main dial is a small seconds indicator with another one of those bulky looking hands.

TASAF | Habari
Jamhuri ya Muungano wa Tanzania

Ofisi ya Rais - Ikulu

Mfuko wa Maendeleo ya Jamii

Habari

Makamu wa Rais Mhe. Dkt. Philip Isdor Mpango Azindua Kituo cha Afya Kendwa


Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Philip Isdor Mpango akifungua kitambaa kuashiria uzinduzi wa Kituo cha Afya Kendwa, Wilaya ya Mkoa wa Kusini Pemba. Uzinduzi wa kituo hicho cha Afya umefanyika katika shamrashamra za maadhimisho ya miaka 59 ya Mapinduzi Matukufu ya Zanzibar.

Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Philip Isdor Mpango akikata utepe kuashiria ufunguzi wa Kituo cha Afya Kendwa

Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Philip Isdor Mpango akikagua moja ya vyumba vya wauguzi wakati wa Uzinduzi wa Kituo cha Afya Kendwa

Mkurugenzi Mtendaji wa TASAF Bw. Ladislaus Mwamanga akitoa shukrani kwa viongozi na Wanakamati ya Usimamizi, Walengwa kwa ushiriki wao wa hali na mali katika kutekeleza ujenzi wa kituo hicho cha Afya

 Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Philip Isdor Mpango akiwa katika picha ya pamoja na viongozi na watumishi wa TASAF baada ya kuzindua kituo cha Afya kendwa