Habari
Wadau wa Maendeleo Wafanya Ziara kwenye Shughuli za TASAF Mkoani Mtwara

Katibu Tawala wa Mkoa wa Mtwara, Bw. Abdallah Malela (katikati) akiongoza kikao kazi cha Tathmini ya Utekelezaji wa Mpango wa Kunusuru Kaya Maskini kilichofanyika tarehe 11.01.2023 katika Ukumbi wa Mkuu wa Mkoa wa Mtwara
Sehemu ya Wadau wa Maendeleo wa TASAF wakisikiliza taarifa ya utekelezaji wa Mpango ya Mkoa wa Mtwara katika Ukumbi wa Mkuu wa Mkoa wa Mtwara
Katibu Tawala wa Mkoa wa Mtwara, Bw. Abdallah Malela akiongea na wadau wa Maendeleo katika Ukumbi wa Mkuu wa Mkoa wa Mtwara
Mwakilishi wa Ubalosi wa Uswisi Bi. Clara Melchior Minja (mwenye kipaza sauti) akichangia jambo katika kikao kazi cha tathmini ya TASAF katika Ukumbi wa Mkuu wa Mkoa wa Mtwara
Mkuu wa Wilaya ya Mtwara Bw. Dunstan Kyobya (aliyesimama) akiongea na Wadau wa Maendeleo katika Ukumbi wa Mkuu wa Mkoa wa Mtwara
Baadhi ya walengwa wa Kata ya Magomeni katika Halmashauri ya Manispaa ya Mtwara wakionesha baadhi ya shughuli wanazozifanya ili kukuza uchumi wa kaya wakiwa katika Ofisi ya Kata ya Magomeni