Habari
Wanufaika TASAF Wajiimarisha Kiuchumi Wilayani Mpanda

Bi. Sikudhani Shabani akishona nguo za wateja wake Mtaa wa Kawajense, Halmashauri ya Manispaa ya Mpanda mkoani Katavi
Bi. Maria Maguta akiwa kwenye genge lake la mbogamboga, nyanya na viungo vingine Mtaa wa Kawajense, Halmashauri ya Manispaa ya Mpanda mkoani Katavi
Bi. Elizabeth Olabi aanzisha mradi wa kuuza mkaa kama njia mojawapo ya kujiongezea kipato Mtaa wa Majengo Mapya Halmashauri ya Manispaa ya Mpanda mkoani Katavi
Bi. Suzana Kangwele aanzisha mradi wa kupika maandazi kama njia mojawapo ya kujiongezea kipato Mtaa wa Kawajense, Halmashauri ya Manispaa ya Mpanda mkoani Katavi