Habari
Waziri Simbachawene ziarani Iringa kukagua shughuli za TASAF

Waziri Ofisi ya Rais Menejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora, Mhe. George Simbachawene (MB) akizungumza na wajumbe wa kikao cha utangulizi na utambulisho wakati wa ziara yake ya siku tatu ya kukagua maendeleo ya utekelezaji wa Mpango wa TASAF
Mkuu wa Mkoa wa Iringa, Mhe. Halima Dendego akitoa Taarifa za utekelezaji wa Mpango wa Kunusuru Kaya za Walengwa katika Mkoa huo mbele ya Waziri Ofisi ya Rais Menejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora Mhe. George Simbachawene (MB) ambaye yupo Mkoani humo kwa ziara ya siku tatu
Picha ya pamoja ya wafanyakazi wa TASAF wanaoshiriki ziara ya utekelezaji wa Mpango wa Kunusuru Kaya za Walengwa Mkoani Iringa