Habari
Ziara ya Balozi wa Sweden nchini Tanzania Mhe. Anders Sjoberg katika Halmashauri ya Wilaya ya Muleba mkoani Kagera

Balozi wa Sweden nchini Tanzania Mhe. Anders Sjoberg akiuliza swali baada ya kupokea taarifa ya utekelezaji wa Mpango wa Kunusuru Kaya za Walengwa.
Mkurugenzi Mtendaji wa TASAF Bw. Ladislaus Mwamanga (aliyesimama) akisisitiza jambo kwa wajumbe kutoka ubalozi wa Sweden
Mkurugenzi Mtendaji wa REPOA Dkt. Donald Mmari (kwanza kulia) akitoa taarifa ya utafiti wa hali ya umaskini kwa Balozi wa Sweden nchini Tanzania Mhe. Anders Sjoberg
Balozi wa Sweden nchini Tanzania Mhe. Anders Sjoberg akiwa katika picha ya pamoja na baadhi wa walengwa kutoka kijiji cha Katanga wilayani Muleba, Kagera
Balozi wa Sweden nchini Tanzania Mhe. Anders Sjoberg akizungumza na walengwa wa TASAF kutoka kijiji cha Katanga Wilayani Muleba, Kagera
Baadhi ya walengwa wa TASAF kutoka kijiji cha Katanga wakimsikiliza Balozi wa Sweden nchini Tanzania Mhe. Anders Sjoberg (hayupo pichani)
Mkurugenzi Mtendaji wa TASAF Bw. Ladislaus Mwamanga akitoa neno la shukrani kwa walengwa pamoja na ujumbe kutoka Ubalozi wa Sweden katika kijiji cha Katanga wilayani Muleba, Kagera