Jamhuri ya Muungano wa Tanzania

Ofisi ya Rais - Ikulu

Mfuko wa Maendeleo ya Jamii

Habari

Ziara ya Kamati ya Kudumu ya Bunge ya Utawala na Serikali za Mitaa kutembelea Miradi ya TASAF Pemba


Mwenyekiti wa Kamati ya Kudumu ya Bunge ya Utawala na Serikali za Mitaa, Mhe. Abdallah Chaurembo akizungumza na walengwa pamoja na wananchi wakati wa ziara ya kukagua utekelezaji wa miradi ya TASAF katika Shehia ya Piki mkoani Pemba

 

Naibu Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais, Menejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora, Mhe. Deogratius Ndejembi akizungumza na walengwa pamoja na wananchi wakati wa ziara ya kukagua utekelezaji wa miradi ya TASAF katika Shehia ya Piki mkoani Pemba

 

Waziri wa Nchi Ofisi ya Makamu wa Pili wa Rais Sera, Uratibu na Baraza la Wawakilishi Mhe, Hamza Hassan Juma akifafanua jambo kwa wajumbe wa kamati ya kudumu ya bunge ya utawala na serikali za mitaa (USEMI) wakiongozwa na Mwenyekiti wa Kamati hiyo Mhe. Abdallah Chaurembo (pili kushoto)

 

Mwenyekiti wa Kamati ya Kudumu ya Bunge ya Utawala na Serikali za Mitaa, Mhe. Abdallah Chaurembo akiwaongoza wajumbe wa kamati yake kujionea bidhaa zinazozalishwa na walengwa wa TASAF katika shehia ya Kendwa mkoani Pemba

 

Mwenyekiti wa Kamati ya Kudumu ya Bunge ya Utawala na Serikali za Mitaa, Mhe. Abdallah Chaurembo akitoa neno la shukrani baada ya kukagua mradi wa ujenzi wa kituo cha afya katika shehia ya Kendwa mkoani Pemba