Habari
Ziara ya Kamati ya kusimamia viongozi wakuu wa kitaifa kutembelea miradi ya TASAF mkoa wa Njombe

Mkurugenzi Mtendaji wa Wilaya ya Makete (aliyesimama) Bw. William Makufwe akiwasilisha taarifa ya utekelezaji wa Mpango ngazi ya Halmashauri kwa Kamati ya kusimamia viongozi wakuu wa kitaifa katika Ofisi ya Mkuu wa Mkoa wa Njombe
Mwenyekiti wa Kamati ya kusimamia viongozi wakuu wa kitaifa Mhe. Hassan Khamis Hafidh (aliyesimama katikati) akiwa katika picha ya pamoja na wajumbe wa kamati hiyo, kushoto kwake ni Mkuu wa Wilaya ya Njombe Mhe. Kissa Gwakisa
Mwenyekiti wa Kamati ya kusimamia viongozi wakuu wa kitaifa Mhe. Hassan Khamis Hafidh akizungumza na walengwa pamoja na wananchi wa Kijiji cha Mang’oto (hawapo pichani) Wilayani Makete
Makamu Mwenyekiti wa Kamati ya kusimamia viongozi wakuu wa kitaifa Mhe. Mtumwa Peya Yussuf akizungumza na wanafunzi wa Shule ya Sekondari Mang’oto (hawapo pichani) Wilayani Makete
Mwenyekiti wa Kamati ya kusimamia viongozi wakuu wa kitaifa Mhe. Hassan Khamis Hafidh akisisitiza jambo kwa Mkurugenzi Mtendaji wa TASAF Bw. Ladislaus Mwamanga baada ya kukagua ujenzi wa bweni katika Kijiji cha Mang’oto Wilayani Makete.
Mkurugenzi wa Halmashauri ya Mji wa Makambako (aliyesimama) Bw. Keneth Haule akiwasilisha taarifa ya utekelezaji wa Mpango ngazi ya Halmashauri kwa Kamati ya kusimamia viongozi wakuu wa kitaifa katika Ofisi ya Mkuu wa Wilaya Makambako
Mwenyekiti wa Kamati ya kusimamia viongozi wakuu wa kitaifa Mhe. Hassan Khamis Hafidh (aliyesimama katikati) akiwa katika picha ya pamoja na wajumbe wa kamati hiyo
Makamu Mwenyekiti wa Kamati ya kusimamia viongozi wakuu wa kitaifa Mhe. Mtumwa Peya Yussuf akizungumza na wanafunzi wa Shule ya Sekondari Mlowe (hawapo pichani) katika Kijiji cha Mlowa Wilayani Makambako
Mwenyekiti wa Kamati ya kusimamia viongozi wakuu wa kitaifa Mhe. Hassan Khamis Hafidh akizungumza na wanafunzi wa Shule ya Sekondari Mlowe (hawapo pichani) katika Kijiji cha Mlowa Wilayani Makambako
Wanafunzi wa Shule ya Sekondari ya Mlowe wakimsikiliza Mwenyekiti wa Kamati ya kusimamia viongozi wakuu wa kitaifa Mhe. Hassan Khamis Hafidh (hayupo pichani)
Mwenyekiti wa Kamati ya kusimamia viongozi wakuu wa kitaifa Mhe. Hassan Khamis Hafidh (katikati) akiwa katika picha ya pamoja na wajumbe wa kamati hiyo baada ya kukagua bweni la wasichana, nyumba za walimu na jengo la utawala katika Shule ya Sekondari Mlowe, Wilayani Makambako