Habari
Ziara ya Maafisa wa Serikali ya Angola katika Halmashauri za Wilaya ya Kibaha na Bagamoyo
Mkurugenzi Mtendaji wa Halmashauri ya Kibaha Bi. Butamo Nuru Ndalahwa akikaribisha Maafisa wa Serikali ya Angola katika Ukumbi wa Mkutano wa Mkoa wa Pwani
Maafisa wa Serikali ya Angola wakisikiliza taarifa ya utekelezaji wa shughuli za Mpango wa Kunusuru Kaya za Walengwa kwa Mkoa wa Pwani
Kaimu Katibu Tawala wa Mkoa wa Pwani Bw. Nsajigwa Mwamunyange (katikati) akiwa katika picha ya pamoja na Maafisa kutoka Serikali ya Angola pamoja na viongozi mbalimbali katika Ofisi ya Mkuu wa Mkoa wa Pwani
Kiongozi wa Shughuli za FAS katika Benki ya Dunia Bw. Boban Paul akizungumza na walengwa wa Mpango wa TASAF katika Kijiji cha Vikuge Wilayani Kibaha
Mkurugenzi Msaidizi FAS Bi. Rosa Teixeira de Carvalho akizungumza na walengwa wa Mpango wa TASAF katika Kijiji cha Vikuge Wilayani Kibaha
Mratibu wa Mkoa wa Pwani Bi. Roseline Kimaro akitoa maelezo kwa Maafisa wa Serikali ya Angola kuhusu vikundi vya kuweka na kuwekeza katika Kijiji cha Vikuge Wilayani Kibaha
Maafisa wa Serikali ya Angola wakiangalia bidhaa mbalimbali zinazotengenezwa na kikundi cha kuweka na kuwekeza cha Tupendane katika Kijiji cha Dunda Wilayani Bagamoyo
Kiongozi wa Shughuli za FAS katika Benki ya Dunia Bw. Boban Paul (kulia) akizungumza na walengwa wa Mpango TASAF katika Kijiji cha Dunda Wilayani Bagamoyo
Viongozi wa Kijiji cha Dunda wakiwa katika picha ya pamoja na Maafisa wa Serikali ya Angola, kikundi cha kuweka na kuwekeza Tupendane na viongozi mbalimbali Wilayani Bagamoyo