Habari
Ziara ya Mapitio ya Utekelezaji wa Mpango wa TASAF katika Halmashauri ya Mji wa Newala

Mkurugenzi wa Programu za Jamii TASAF Bw. John Stephen akitoa maelezo mafupi kwa Mkuu wa Mkoa wa Mtwara Mhe. Kanali Ahmed Abbas Ahmed
Mkuu wa Mkoa wa Mtwara Mhe. Kanali Ahmed Abbas Ahmed (katikati) akizungumza na ujumbe kutoka Ubalozi wa Norway pamoja na Viongazi wa TASAF walipomtembelea ofisini kwake
Mratibu wa TASAF Halmashauri ya Mji wa Newala Bw. Alphayo Zacharia akiwasilisha taarifa ya utekelezaji wa shughuli za Mpango wa Kunusuru Kaya za Walengwa katika ukumbi wa mkutano wa Mkoa wa Mtwara
Katibu Tawala wa Mkoa wa Mtwara Bw. Abdalah Malela (katikati) akiwa katika picha ya pamoja na ujumbe kutoka Ubalozi wa Norway pamoja na viongozi mbalimbali katika ukumbi wa mkutano wa Mkoa wa Mtwara
Mkurugenzi Mtendaji wa Halmashauri ya Mji wa Newala Bw. Geofrey Nnauye akizungumza na walengwa wa Mpango wa TASAF katika kijiji cha Msilili Wilayani Newala
Mkurugenzi wa Programu za Jamii – TASAF Bw. John Stephen akisisitiza jambo kwa Katibu wa Maswala ya Kisiasa Bw. Edmund Walton kutoka Ubalozi wa Norway kuhusu ujenzi wa Zahanati ya Kijiji cha Msilili Wilayani Newala
Katibu wa Maswala ya Kisiasa Bw. Edmund Walton kutoka Ubalozi wa Norway akizungumza na kikundi cha kuweka akiba na kukuza uchumi wa kaya katika kijiji cha Msilili Wilayani Newala
Mkurugenzi wa Programu za Jamii – TASAF akitoa ufafanuzi kuhusu utararibu wa Ajira za Muda kwa Maafisa kutoka Ubalozi wa Norway katika kijiji cha Mandumba Wilayani Newala
Mkuu wa Wilaya ya Newala Mhe. Mwangi Kundya (katikati) akiwa katika picha ya pamoja na ujumbe kutoka Ubalozi wa Norway pamoja na viongozi mbalimbali walipomtembelea ofisini kwake