Habari
Ziara ya Naibu Katibu Mkuu Ofisi ya Rais Menejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora Dkt. Francis Michael Kutembelea Ofisi za TASAF Dar es Salaam

Naibu Katibu Mkuu Ofisi ya Rais Menejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora Dkt. Francis Michael akizungumza na Watumishi wa TASAF
Mkurugenzi Mtendaji Bw. Ladislaus Mwamanga akitoa taarifa fupi ya utekelezaji wa Mpango katika ukumbi wa mikutano ofisi za TASAF – Dar es Salaam
Baadhi wa watumishi wa TASAF wakimsikiliza Naibu Katibu Mkuu Ofisi ya Rais Menejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora Dkt. Francis Michael (hayupo pichani) alipotembelea ofisi hiyo.
Naibu Katibu Mkuu Ofisi ya Rais Menejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora Dkt. Francis Michael (aliyeketi katikati) akiwa katika picha ya pamoja na baadhi ya timu ya Menejimenti
Naibu Katibu Mkuu Ofisi ya Rais Menejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora Dkt. Francis Michael (aliyeketi katikati) akiwa katika picha ya pamoja na watumishi wa TASAF