Habari
Ziara ya Naibu Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais Menejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora Mhe. Ridhiwani Kikwete kutembelea Ofisi za TASAF

Mkurugenzi Mtendaji wa TASAF Bw. Ladislaus Mwamanga akitoa taarifa fupi kwa Naibu Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais Menejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora Mhe. Ridhiwani Kikwete alipotembelea Ofisi za TASAF
Naibu Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais Menejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora Mhe. Ridhiwani Kikwete akizungumza na Menejimenti ya Mfuko wa Maendeleo ya Jamii – TASAF (hawapo pichani) alipotembelea Mfuko huo
Naibu Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais Menejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora Mhe. Ridhiwani Kikwete (aliyeketi katikati) akiwa katika picha ya pamoja na Timu ya Menejimenti ya TASAF