Habari
Ziara ya Waziri wa Nchi, Ofisi ya Makamu wa Pili wa Rais wa Zanzibar Mhe. Hamza Hassan Juma kutembelea Ofisi za TASAF Dodoma

Mkurugenzi Mtendaji wa TASAF, Ladislaus Mwamanga akitoa taarifa fupi kwa Waziri wa Nchi Ofisi ya Makamu wa Pili wa Rais wa Zanzibar Hamza Juma, wakati Waziri huyo alipotembelea Ofisi za TASAF jijini Dodoma Jumanne Aprili 19, 2022
Waziri wa Nchi Ofisi ya Makamu wa Pili wa Rais wa Zanzibar Hamza Hassan Juma (katikati) akizungumza na Menejimenti ya Mfuko wa Maendeleo ya Jamii - TASAF mjini Dodoma alipotembelea Mfuko huo Jumanne Aprili 19, 2022
Waziri wa Nchi Ofisi ya Makamu wa Pili wa Rais wa Zanzibar Hamza Hassan Juma akitia saini katika kitabu cha wageni alipotembelea Makao Makuu ya Mfuko wa Maendeleo ya Jamii - TASAF jijini Dodoma Jumanne Aprili 19, 2022