Jamhuri ya Muungano wa Tanzania

Ofisi ya Rais - Ikulu

Mfuko wa Maendeleo ya Jamii

Habari

Ziara ya Waziri wa Nchi – Ofisi ya Rais, Menejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora Mhe. Mohamed Mchengerwa Kutembelea Miradi ya TASAF katika Mikoa ya Geita, Kagera na Kigoma


Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais, Menejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora, Mhe. Mohamed Mchengerwa akizungumza na walengwa wa TASAF pamoja na wananchi wa mtaa wa Kanyala mkoani Geita

Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais, Menejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora, Mhe. Mohamed Mchengerwa akimpongeza Mlengwa wa TASAF wa mtaa wa Kanyala kwa kufungua duka ili kumudu maisha yake wakati wa ziara yake ya kukagua utekelezaji wa miradi ya TASAF mkoani Geita

Walengwa wa TASAF wakiwa wamesimama mbele ya duka lao katika mtaa wa Kanyala walipotembelewa na Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais, Menejimenti ya Umma na Utawala wakati ya ziara ya kukagua utekelezaji wa miradi ya TASAF mkoani Geita

Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais, Menejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora, Mhe. Mohamed Mchengerwa akimsikiliza Mlengwa wa TASAF mtaa wa Kanyala aliyejenga nyumba, choo bora na kisima kupitia ruzuku ya TASAF, kulia kwake ni Mkuu wa Mkoa wa Geita  Mhe. Rosemary Senyamule

Mkuu wa Mkoa wa Geita Mhe. Rosemary Senyamule akizungumza na wananchi wa Kijiji cha Kakubilo pamoja na watumishi wa Zahanati ya Kakubilo (hawapo pichani) katika Halmashauri ya Wilaya ya Geita

Wananchi wa Kijiji cha Kakubilo wakimsikiliza Mkuu wa Mkoa wa Geita Mhe. Rosemary Senyamule (hayupo pichani) wakati wa ziara ya Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais, Menejimenti ya Umma na Utawala Bora ya kukagua utekelezaji wa miradi ya TASAF mkoani Geita

Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais, Menejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora, Mhe. Mohamed Mchengerwa akizungumza na wananchi wa Kijiji cha Kakubilo katika Halmashauri ya Wilaya ya Geita

Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais, Menejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora, Mhe. Mohamed Mchengerwa akizungumza na wananchi waliofuata huduma za afya katika zahanati ya Kakubilo iliyojengwa na TASAF wakati wa ziara yake ya kukagua utekelezaji wa miradi ya TASAF mkoani Geita

Mbunge wa Jimbo la Chato, Mhe Medard Kalemani akizungumza na walengwa wa TASAF na wananchi wa Kijiji cha Nyabilezi wakati wa ziara ya Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais, Menejimenti ya Umma na Utawala Bora ya kukagua utekelezaji wa miradi ya TASAF wilayani Chato mkoani Geita

Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais, Menejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora, Mhe. Mohamed Mchengerwa akizungumza na walengwa wa TASAF na wananchi wa Kijiji cha Nyabilezi wakati wa ziara yake ya kukagua utekelezaji wa miradi ya TASAF wilayani Chato mkoani Geita

Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais, Menejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora, Mhe. Mohamed Mchengerwa akizungumza na Mbunge wa Jimbo la Chato, Mhe. Medard Kalemani baada ya kukagua Zahanati ya Nyabilezi iliyojengwa na TASAF wilayani Chato, mkoani Geita

Mkuu wa Wilaya ya Bukoba Mhe. Moses Joseph Machali akizungumza na walengwa wa TASAF na wananchi wa Kijiji cha Lukindo (hawapo pichani) wakati wa ziara ya Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais, Menejimenti ya Umma na Utawala Bora ya kukagua utekelezaji wa miradi ya TASAF wilayani Bukoba mkoani Kagera

Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais, Menejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora, Mhe. Mohamed Mchengerwa akizungumza na walengwa wa TASAF na wananchi wa Kijiji cha Lukindo (hawapo pichani) wakati wa ziara yake ya kukagua utekelezaji wa miradi ya TASAF wilayani Bukoba mkoani Kagera

Wananchi wa Kijiji cha Lukindo wakimsikiliza Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais, Menejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora, Mhe. Mohamed Mchengerwa (hayupo pichani) wakati wa ziara yake ya kukagua utekelezaji wa miradi ya TASAF wilayani Bukoba mkoani Kagera

Mlengwa wa TASAF katika Kijiji cha Lukindo akimuonyesha mifugo yake Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais, Menejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora, Mhe. Mohamed Mchengerwa alipomtembelea  wakati wa kukagua utekelezaji wa miradi ya TASAF wilayani Bukoba mkoani Kagera

Afisa Uwezeshaji na Ufuatiliaji Bw. Emmanuel Macha akitoa salamu kwa niaba ya Mkurugenzi Mtendaji wa TASAF kwa walengwa  wa Kijiji cha Kagongo wakati wa ziara ya Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais, Menejimenti ya Umma na Utawala Bora ya kukagua utekelezaji wa miradi ya TASAF mkoani Kigoma

Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais, Menejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora, Mhe. Mohamed Mchengerwa akizungumza na walengwa wa TASAF na wananchi wa Kijiji cha Kagongo (hawapo pichani) mkoani Kigoma

Mkuu wa Mkoa wa Kigoma Kamishna wa Polisi Mhe. Thobias E.M. Andengenye akizungumza na walengwa wa TASAF na wananchi wa Kijiji cha Kazuramimba, Halmashauri ya Wilaya ya Uvinza wakati wa ziara ya Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais, Menejimenti ya Umma na Utawala Bora Mhe. Mohamed Mchengerwa ya kukagua utekelezaji wa miradi ya TASAF mkoani Kigoma