the minutes and a sub-counter with the seconds. It is made of solid gold, but also their special styles bring a new echo to public and review modern ladies watches design. www.paneraireplica.co hublot replicas watches rolex deepsea replica The white lacquered dial in the upper right quarter of the watch features a blue minute track on the outside and printed roman numerals in black all around. replica iwcs breguet replica The Maurice Lacroix logo at 12 oclock is crisp and adds a finishing touch to the small dial. Just below the main dial is a small seconds indicator with another one of those bulky looking hands.

TASAF | Habari
Jamhuri ya Muungano wa Tanzania

Ofisi ya Rais - Ikulu

Mfuko wa Maendeleo ya Jamii

Habari

Uzinduzi wa Madarasa 12 katika Shule ya Piki Shule za Sekondari na Msingi za Piki


Waziri wa Nchi Ofisi ya Makamu wa Rais, Muungano na Mazingira, Mhe. Suleiman Said Jafo akifungua kitambaa kuashiria uzinduzi wa madarasa 12 katika shule ya Piki shule za Sekondari na Msingi za Piki, katika Shehia ya Piki, wilayani Wete, Mkoa wa Kaskazini Pemba. Uzinduzi wa Majengo ya Madarasa haya umefanyika katika shamrashamra za maadhimisho ya miaka 59 ya Mapinduzi Matukufu ya Zanzibar

Waziri wa Nchi Ofisi ya Ofisi ya Makamu wa Rais, Muungano na Mazingira, Mhe. Suleiman Said Jafo akikata utepe kuashiria ufunguzi wa madarasa ya shule ya piki

Mkurugenzi Mtendaji wa TASAF Bw. Ladislaus Mwamanga akitoa shukrani kwa viongozi na wananchi wa Piki kwa ushiriki wao wa hali na mali katika kutekeleza ujenzi wa madarasa hayo

Waziri Jafo, akiwa katika picha ya pamoja na Viongozi wa Wilaya ya Wete na Mkoa wa Kaskazini Pemba pamoja na Watumishi wa TASAF