Habari
Ufunguzi Maonesho ya Wiki ya Huduma za Fedha jijini Arusha

Kaimu Mkurugenzi Mtendaji wa TASAF Bw. Shedrack Mziray akitoa maelezo kwa Waziri Mkuu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Kassim Majaliwa alipotembelea Banda la TASAF katika maonesho ya Wiki ya Huduma za Fedha yanayofanyika Jijini Arusha
Waziri Mkuu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Kassimu Majaliwa, akiwasikiliza wanufaika wa TASAF katika uzinduzi wa maonesho ya Wiki ya Huduma za Fedha yanayofanyika Jijini Arusha
Waziri Mkuu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Kassimu Majaliwa, akipokea zawadi kutoka kwa Mnufaika Bi. Tatu Ramadhani Hongoa kutoka Mtaa wa Kimidorosi Kata ya Olasiti katika Banda la TASAF wakati wa uzinduzi wa maonesho ya Wiki ya Huduma za Fedha yanayofanyika Jijini Arusha