Habari
Ziara ya Wadau wa Maendeleo katika Halmashauri ya Manispaa ya Temeke

Kaimu Mkurugenzi Mtendaji wa TASAF Bw. Shedrack Mziray akitoa maelezo mafupi kwa Wadau wa Maendeleo kutoka Ofisi ya Mambo ya Nje, Jumuiya ya Madola na Maendeleo (FCDO) ya Serikali ya Uingereza katika ukumbi wa mikutano jijini Dar es Salaam
Kaimu Mkurugenzi Mtendaji wa Halmashauri ya Manispaa ya Temeke Bw. Nkana Mohamed Nkana akizungumza na walengwa wa Mpango wa TASAF katika Mtaa wa Mibulani Halmashauri ya Manispaa ya Temeke
Mkurugenzi wa Programu za Jamii - TASAF Bw. John Stephen akizungumza na walengwa wa Mpango wa TASAF katika Mtaa wa Mibulani Halmashauri ya Manispaa ya Temeke
Mkurugenzi wa Maendeleo na Maafa kutoka Ofisi ya Mambo ya Nje, Jumuiya ya Madola na Maendeleo (FCDO) ya Serikali ya Uingereza Bi. Melinda Banhann akizungumza na walengwa wa Mpango wa TASAF katika Mtaa wa Mibulani Halmashauri ya Manispaa ya Temeke
Mkurugenzi wa Maendeleo na Maafa kutoka Ofisi ya Mambo ya Nje, Jumuiya ya Madola na Maendeleo (FCDO) ya Serikali ya Uingereza Bi. Melinda Banhann akiangalia bidhaa mbalimbali zinazotengenezwa na vikundi vya kuweka akiba na kuwekeza katika Mtaa wa Mibulani Halmashauri ya Manispaa ya Temeke
Mkurugenzi wa Maendeleo na Maafa kutoka Ofisi ya Mambo ya Nje, Jumuiya ya Madola na Maendeleo (FCDO) ya Serikali ya Uingereza Bi. Melinda Banhann (katikati) akiwa katika picha ya pamoja na viongozi mbalimbali katika Mtaa wa Mibulani Halmashauri ya Manispaa ya Temeke