Habari

Walengwa TASAF watakiwa kujitegemea
Naibu Waziri Ofisi ya Rais Menejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora Mhe. Deogratius Ndejembi akizungumza na Walengwa wa Mpango wa Kunusuru Kaya za W...

TASAF na Wadau wakutana kufanya mapitio ya Awamu ya Tatu
Mfuko wa Maendeleo ya Jamii - TASAF pamoja na Wadau wa Maendeleo wanakutana kufanya mapitio ya Kipindi cha Pili cha Awamu ya Tatu ya TASAF. Kikao hicho cha wiki...

Ziara ya Waziri wa Nchi – Ofisi ya Rais, Menejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora Mhe. Mohamed Mchengerwa Kutembelea Miradi ya TASAF katika Mikoa ya Geita, Kagera na Kigoma
Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais, Menejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora, Mhe. Mohamed Mchengerwa akizungumza na walengwa wa TASAF pamoja na wananchi wa m...

Ujumbe wa Viongozi Waandamizi wa Benki ya Dunia watembelea wanufaika wa TASAF katika Manispaa ya Temeke
Ujumbe wa viongozi waandamizi wa Benki ya Dunia wakiongozwa na Mkurugenzi Mtendaji wa Sera za Maendeleo na Ubia Prof Mari Pangestu ukiwasili katika viwanja vya...

Walengwa wa TASAF waombwa kutengewa maeneo ya biashara
Bi. Tausi Khalfani Abdallah (aliyeshika kipaza sauti) akimweleza Naibu Waziri wa Kazi, Vijana na Ajira Mhe. Patrobass Katambi mambo ambayo yanafanyika kwen...

Ziara ya Kamati ya Kudumu ya Bunge ya Utawala na Serikali za Mitaa kutembelea Miradi ya TASAF Halmashauri ya Wilaya ya Arusha na Karatu
Mwenyekiti wa Kamati ya Kudumu ya Bunge ya Utawala na Serikali za Mitaa, Mhe. Abdallah Chaurembo akizungumza na Wanafunzi wa Shule ya Sekondari ya Oldonyowas pa...

Ziara ya Mhe. Balozi wa Norway nchini Tanzania Bi. Elisabeth Jacobsen na Mkurugenzi Mkuu wa Shirika la NORAD Bw. Bard Vegar Solhjell katika Kijiji cha Vikuge, Wilayani Kibaha, Mkoani Pwani
Mapokezi ya Balozi wa Norway Nchini Tanzania Bi. Elisabeth Jacobsen na Mkurugenzi Mkuu wa Shirika la Norad Bw. Bård Vegar Solhjell pamoja na Mkurugen...

Uzinduzi wa Awamu ya Nne ya Mradi wa Kupunguza Umaskini Tanzania kwa Viongozi na Watendaji mkoa wa Simiyu
Mkurugenzi Mtendaji wa Mfuko wa Maendeleo ya Jamii - TASAF Bw. Ladislaus Mwamanga, akitoa maelezo ya Awamu ya Nne ya Mradi wa Kupunguza Umaskini Tanzania (TPRP...

Kikao Kazi cha Kuzindua Utekelezaji wa Awamu ya Nne ya Mradi wa Kupunguza Umaskini Tanzania kwa Viongozi na Watendaji
Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais Menejiment ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora Mhe. Mohamed Mchengerwa akizungumza na washiriki wa kikao kazi wakati wa uzinduzi wa...

Mafunzo ya Uundwaji Vikundi vya Kuweka na Kuwekeza kwa Wakufunzi wa Kitaifa
Mfuko wa Maendeleo ya Jamii (TASAF) umeandaa mafunzo ya mpango wa kuweka na kuwekeza kwa kaya za walengwa yatakaofanyika kwa siku tano mkoani Morogoro, kwa maof...

Wanafunzi kutoka kaya za walengwa wa TASAF kupata Mikopo ya Elimu ya Juu
Wanafunzi wanaotoka kaya za walengwa wa Mfuko wa Maendeleo ya Jamii (TASAF) ambao wamedahiliwa na kuwa na sifa za kuingia katika vyuo vinavyotoa elimu ya j...

Ziara ya Naibu Katibu Mkuu Ofisi ya Rais Menejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora Dkt. Francis Michael Kutembelea Ofisi za TASAF Dar es Salaam
Naibu Katibu Mkuu Ofisi ya Rais Menejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora Dkt. Francis Michael akizungumza na Watumishi wa TASAF Mkurugenzi Mtendaj...

TASAF kuzifikia kaya zote maskini nchini
Mfuko wa Maendeleo ya Jamii TASAF utazifikia kaya zote nchini katika Vijiji, Mitaa na Shehia zote Tanzania Bara na Unguja na Pemba wakati wa utekelezaji wa Kipi...

TASAF, Mtakwimu zakubaliana kutatufa taarifa Zanzibar
Mfuko wa Maendeleo ya Jamii - TASAF umeingia makubaliano na Ofisi ya Mtakwimu Mkuu Zanzibar kwa ajili ya kukusanya taarifa za zitakazowezesha kutathimini...

TASAF KUANZA UTEKELEZAJI WA KIPINDI CHA PILI CHA AWAMU YAKE YA TATU NCHINI KOTE.
Mfuko wa Maendeleo ya Jamii - TASAF umekamilisha mipango itakayowezesha kuanza kwa utekelezaji wa Kipindi cha Pili cha Awamu yake ya TATU kufuatia uzinduzi ulio...

RAIS WA JAMHURI YA MUUNGANO WA TANZANIA DR. JOHN POMBE MAGUFULI AZINDUA KIPINDI CHA PILI CHA AWAMU YA TATU CHA TASAF.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dr. John Pombe Joseph Magufuli amezindua rasmi kipindi cha Pili cha utekelezaji wa Awamu ya Tatu ya Mfuko wa Maende...