Habari

Benki ya Dunia yafurahishwa na matumizi ya Ruzuku ya Uzalishaji Mtwara
Wawakilishi kutoka Benki ya Dunia, Stanley Magesa na Faith Msechu wakizungumza na wanufaika wa Ruzuku ya Uzalishaji inayotolewa na Mfuko wa Maendeleo ya Jamii T...

Benki ya Dunia yafurahishwa Ruzuku ya Uzalishaji Rungwe
Wadau wa Maendeleo ikiwemo Benki ya Dunia wamefurahishwa na jinsi Ruzuku ya Uzalishaji inavyowanufaisha Walengwa wa Mpango wa Kunusuru Kaya Maskini katika Halma...

TASAF ilivyonufaisha walengwa katika Halmashauri ya Wilaya ya Singida
Mnufaika wa Mpango wa TASAF Bi. Elizabeth Vicent akionesha Kondoo aliofanikiwa kuwamiliki baada ya kupokea ruzuku ya uzalishaji kupitia programu ya kukuza uchum...

Waziri Simbachawene aeleza Mafanikio ya TASAF katika Miaka 60 ya Muungano
Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais, Menejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora, Mhe. George Simbachawene ameueleza umma kuwa katika kipindi cha Miaka 60 ya Muun...

Wadau wa Mpango wa Kunusuru Kaya Maskini (TASAF) Wakutana Kutathmini Mifumo ya Malipo ya Walengwa na Kujadili Changamoto zinazojitokeza
Wadau mbalimbali wa Mpango wa TASAF wamekutana jijini Arusha katika mwendelezo wa vikao kazi kutathmini utekelezaji wa miongozo ya malipo, kujadili na kutafutia...

Kamati ya Bunge yashuhudia jinsi TASAF inavyogusa maisha
Kamati ya Kudumu ya Bunge ya Utawala, Katiba na Sheria inatembelea miradi inayotekelezwa chini ya Mfuko wa Maendeleo ya Jamii - TASAF katika mikoa ya Iringa, Nj...

TASAF yakamilisha ujenzi wa Shule ya Sekondari ya mfano kwa shilingi milioni 900
Wanafunzi wanaotoka katika kaya za Wanufaika wa Mpango wa Kunusuru Kaya za Walengwa wakifurahia miundombinu ya shule ya Mfano ya Sekondari Igogwe katika Halmash...

Waziri Simbachawene azungumza na wakazi wa Migoli kuhusu TASAF
Waziri Ofisi ya Rais Menejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora Mhe. George Simbachawene (MB) akizungumza na wakazi wa kijiji cha Migoli Halmashauri ya Wil...

Waziri Simbachawene Asifu Miradi ya TASAF Iringa
Waziri Ofisi ya Rais Menejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora, Mhe. George Simbachawene (MB) akizungumza na wakazi wa Kijiji cha Kinywang’anga Halm...

Waziri Simbachawene ziarani Iringa kukagua shughuli za TASAF
Waziri Ofisi ya Rais Menejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora, Mhe. George Simbachawene (MB) akizungumza na wajumbe wa kikao cha utangulizi na utambulish...

Washirika wa Maendeleo wa TASAF Wawapongeza Wanawake kwa Uongozi Bora Iringa
Mmoja wa Washirika wa Maendeleo Bw. Matthew Cogan kutoka Ubalozi wa Ireland akijibu Maswali ya Wanahabari wakiwa katika Kijiji cha Iramba mara baada ya kukagua...

Zaidi ya Bilioni 8 za TASAF zakuza Uchumi Iringa
Mkuu wa Mkoa wa Iringa, Mhe. Halima Dendego akiongea na Timu ya Wadau wa Maendeleo walipofika ofisini kwake ili kujitambulisha Zaidi ya bilioni 8 zimeingizwa...

Washiriki wa Mkutano wa Mapitio ya Pamoja ya Utekelezaji wa Mpango wa Kunusuru Kaya za Walengwa wakamilisha ziara Mkoa wa Kilimanjaro
Kiongozi wa Shughuli za TASAF kutoka Benki ya Dunia Bi. Claudia Zambra Taibo amepongeza mchango wa Serikali kwenye utekelezaji wa Mpango wa Kunusuru Kaya za Wal...

Washirika wa Maendeleo wafurahishwa na mafanikio ya Walengwa Manispaa ya Bukoba
Kiongozi wa wajumbe wa Mkutano wa Mapitio ya Pamoja ya utekelezaji wa Mpango wa TASAF waliotembelea Manispaa ya Bukoba Ndg.Paulina Mrosso akizingumza na walengw...

Mkutano wa Mapitio ya Utekelezaji wa Mpango wa TASAF Kipindi cha Pili
Kaimu Mkurugenzi Mtendaji wa TASAF Bw. Shedrack Mziray akiwa na Kiongozi wa Shughuli za TASAF nchini Tanzania Bi. Claudia Taibo kutoka Benki ya Dunia pamoja na&...

Miradi ya Sh bilioni 9 yatekelezwa Zanzibar
Miradi ya ujenzi wa miundombinu mbalimbali 13 yenye thamani ya shilingi bilioni 9 imetekelezwa Unguja na Pemba kupitia Mfuko wa Maendeleo ya Jamii. Miradi hiyo...

TASAF yakamilisha ujenzi wa kituo cha Afya Zanzibar kwa Sh. milioni 360.8
Makamu wa Pili wa Rais wa Serikali ya Mapinduzi ya Zanzibar Mhe. Hemed Suleiman Abdullah amezindua Kituo cha Afya katika Shehia ya Uzi Mkoa wa Kusini Unguja kil...

TASAF yaboresha upatikanaji wa huduma za kijamii Utiga
Utekelezaji wa Mpango wa Kunusuru Kaya Maskini Mkoa wa Njombe umewezesha kujengwa kwa miundombinu ya afya, elimu na maji katika kijiji c...

Kikundi cha walengwa chawekeza kwenye kilimo cha miti
Mwenyekiti wa kikundi cha Ahsante katika kijiji cha Ibumila Joyce Kilasi akionesha sehemu ya shamba la miti linalomilikiwa na wanakikundi ambao ni walengwa wa T...

Bilioni 25.6 zatumika kutekeleza miradi ya TASAF mkoa wa Njombe
Mratibu wa TASAF Mkoa wa Njombe Mussa Selemani akitoa taarifa ya utekelezaji wa mpango wakati wa ziara ya wahariri wa vyombo vya habari Jumla ya miradi...