Jamhuri ya Muungano wa Tanzania

Ofisi ya Rais - Ikulu

Mfuko wa Maendeleo ya Jamii

Habari

Mkutano wa Mapitio ya Utekelezaji wa Mpango wa TASAF Kipindi cha Pili

Kaimu Mkurugenzi Mtendaji wa TASAF Bw. Shedrack Mziray akiwa na Kiongozi wa Shughuli za TASAF nchini Tanzania Bi. Claudia Taibo kutoka Benki ya Dunia pamoja na&...

Miradi ya Sh bilioni 9 yatekelezwa Zanzibar

Miradi ya ujenzi wa miundombinu mbalimbali 13 yenye thamani ya shilingi bilioni 9 imetekelezwa Unguja na Pemba kupitia Mfuko wa Maendeleo ya Jamii. Miradi hiyo...

TASAF yakamilisha ujenzi wa kituo cha Afya Zanzibar kwa Sh. milioni 360.8

Makamu wa Pili wa Rais wa Serikali ya Mapinduzi ya Zanzibar Mhe. Hemed Suleiman Abdullah amezindua Kituo cha Afya katika Shehia ya Uzi Mkoa wa Kusini Unguja kil...

TASAF yaboresha upatikanaji wa huduma za kijamii Utiga

Utekelezaji wa Mpango wa Kunusuru Kaya Maskini Mkoa wa Njombe umewezesha kujengwa kwa  miundombinu  ya  afya, elimu na maji katika  kijiji c...

Kikundi cha walengwa chawekeza kwenye kilimo cha miti

Mwenyekiti wa kikundi cha Ahsante katika kijiji cha Ibumila Joyce Kilasi akionesha sehemu ya shamba la miti linalomilikiwa na wanakikundi ambao ni walengwa wa T...

Bilioni 25.6 zatumika kutekeleza miradi ya TASAF mkoa wa Njombe

Mratibu wa TASAF Mkoa wa Njombe Mussa Selemani akitoa taarifa ya utekelezaji wa mpango  wakati wa ziara ya wahariri wa vyombo vya habari Jumla ya miradi...

Wahariri wa Vyombo vya Habari Tanzania Watembelea Miradi ya Miundombinu Njombe

Mwonekano wa madarasa yakiwa na samani zake katika shule ya Umonga Wahariri wa Vyombo vya Habari nchini Tanzania wako katika ziara ya kutembelea Miradi ya Mi...

Kufurahi na Walengwa

Meneja Uendeshaji na Hifadhi ya Jamii wa Benki ya Dunia Afrika Mashariki, Robert Chase akifurahi na wanufaika wa TASAF katika kijiji cha Kongo Wilayani Bagamoyo...

Ujasiriamali wa Walengwa

Amani Group kikundi cha wanufaika wa TASAF kilicho chini ya mpango wa akiba na uwekezaji, wakionesha bidhaa zao wakati wadau wa maendeleo walipotembelea miradi...

Walengwa TASAF wajenga barabara Ruvu Darajani,Uswisi yapongeza

Walengwa wa Mpango wa Kunusuru Kaya Maskini katika kijiji cha Ruvu Darajani Halmashauri ya Chalinze Mkoa wa Pwani wamefanikiwa kufungua mawasiliano ya barabara...

TASAF yaimarisha uchumi wa kaya Ruvu Darajani,Uswisi yapongeza

Mkuu wa Idara ya Afrika katika Shirika la Maendeleo la Uswisi Nicolas Randin akiangalia mikeka inayofumwa na mmoja wa walenga wa TASAF katika kujiingizia ki...

TASAF yatekeleza miradi ya maendeleo vijijini

Mbunge wa jimbo la Kilolo mkoa wa Iringa Jusin Nyamoga amesema utekelezaji wa shughuli za Mfuko wa Maendeleo ya Jamii TASAF imefungua barabara nyingi ambazo zin...

Walengwa TASAF wajenga madaraja, barabara ya mtaa

Naibu Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais Menejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora Mhe. Ridhiwani Kikwete (katikati) akikagua ujenzi wa moja ya madaraja yaliyoj...

Waziri Mkuu Mhe. Kassim Majaliwa amepongeza TASAF kwa kuwawezesha wanufaika wa Mpango

Waziri Mkuu,Kassim Majaliwa amepongeza Mfuko wa Maendeleo ya Jamii (TASAF), kwa kuwawezesha wanufaika wa mfuko huo ikiwemo kuwasimamia katika shughuli za kiuchu...

TASAF katika Maonesho ya Wiki ya Huduma za Fedha

Mfuko wa Maendeleo ya Jamii ni miongoni mwa washiriki wa maonyesho ya wiki ya huduma za fedha yanayoendelea katika uwanja wa Sheikh Amri Abeid Arusha. Maon...

Ufunguzi Maonesho ya Wiki ya Huduma za Fedha jijini Arusha

Kaimu Mkurugenzi Mtendaji wa TASAF Bw. Shedrack Mziray akitoa maelezo kwa Waziri Mkuu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Kassim Majaliwa ali...

TASAF yashiriki Maonesho ya Wiki ya Huduma za Fedha jijini Arusha

TASAF inashiriki Maonesho ya Wiki ya Huduma za Fedha yanayofanyika katika Viwanja vya Sheikh Amri Abeid Jijini Arusha 20-26 Novemba, 2023. Watumishi wa TASAF wa...

Simbachawene afafanua utaratibu Ajira za Muda

Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais Menejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora Mhe. George Simbachawene amefafanua utaratibu wa walengwa wa Mpango wa Kunusur...

Ziara ya Mafunzo kwa Kamati ya Baraza la Wawakilishi inayosimamia Ofisi ya Viongozi Wakuu wa Kitaifa Zanzibar katika Halmashauri ya Wilaya ya Bagamoyo

Mkurugenzi Mtendaji wa Halmashauri ya Wilaya ya Bagamoyo Bw. Shauri Selenda akikaribisha wajumbe wa Kamati ya Baraza la Wawakilishi inayosimamia ofisi ya viongo...

TASAF kupokea msaada wa zaidi ya Sh. bilioni 50 kutoka Uswisi, Ireland

Serikali ya Tanzania imepewa msaada wa shilingi bilioni 50.13 kwa ajili ya kufadhili Mpango wa Kunusuru Kaya Maskini Kipindi cha Pili PSSN II unaosimamiwa...