the minutes and a sub-counter with the seconds. It is made of solid gold, but also their special styles bring a new echo to public and review modern ladies watches design. www.paneraireplica.co hublot replicas watches rolex deepsea replica The white lacquered dial in the upper right quarter of the watch features a blue minute track on the outside and printed roman numerals in black all around. replica iwcs breguet replica The Maurice Lacroix logo at 12 oclock is crisp and adds a finishing touch to the small dial. Just below the main dial is a small seconds indicator with another one of those bulky looking hands.

TASAF | Habari
Jamhuri ya Muungano wa Tanzania

Ofisi ya Rais - Ikulu

Mfuko wa Maendeleo ya Jamii

Habari

Uzinduzi wa Awamu ya Nne ya Mradi wa Kupunguza Umaskini Tanzania kwa Viongozi na Watendaji mkoa wa Simiyu

Mkurugenzi Mtendaji wa Mfuko wa Maendeleo ya Jamii - TASAF Bw. Ladislaus Mwamanga, akitoa maelezo ya Awamu ya Nne ya Mradi wa Kupunguza Umaskini Tanzania (TPRP...

Kikao Kazi cha Kuzindua Utekelezaji wa Awamu ya Nne ya Mradi wa Kupunguza Umaskini Tanzania kwa Viongozi na Watendaji

Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais Menejiment ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora Mhe. Mohamed Mchengerwa akizungumza na washiriki wa kikao kazi wakati wa uzinduzi wa...

Mafunzo ya Uundwaji Vikundi vya Kuweka na Kuwekeza kwa Wakufunzi wa Kitaifa

Mfuko wa Maendeleo ya Jamii (TASAF) umeandaa mafunzo ya mpango wa kuweka na kuwekeza kwa kaya za walengwa yatakaofanyika kwa siku tano mkoani Morogoro, kwa maof...

Wanafunzi kutoka kaya za walengwa wa TASAF kupata Mikopo ya Elimu ya Juu

Wanafunzi wanaotoka kaya za walengwa wa Mfuko wa Maendeleo ya Jamii (TASAF) ambao wamedahiliwa na kuwa na sifa za kuingia katika vyuo vinavyotoa elimu ya j...

Ziara ya Naibu Katibu Mkuu Ofisi ya Rais Menejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora Dkt. Francis Michael Kutembelea Ofisi za TASAF Dar es Salaam

Naibu Katibu Mkuu Ofisi ya Rais Menejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora Dkt. Francis Michael akizungumza na Watumishi wa TASAF Mkurugenzi Mtendaj...

TASAF kuzifikia kaya zote maskini nchini

Mfuko wa Maendeleo ya Jamii TASAF utazifikia kaya zote nchini katika Vijiji, Mitaa na Shehia zote Tanzania Bara na Unguja na Pemba wakati wa utekelezaji wa Kipi...

TASAF, Mtakwimu zakubaliana kutatufa taarifa Zanzibar

Mfuko wa Maendeleo ya Jamii  - TASAF umeingia makubaliano na Ofisi ya Mtakwimu Mkuu Zanzibar kwa ajili ya kukusanya taarifa za zitakazowezesha kutathimini...

TASAF KUANZA UTEKELEZAJI WA KIPINDI CHA PILI CHA AWAMU YAKE YA TATU NCHINI KOTE.

Mfuko wa Maendeleo ya Jamii - TASAF umekamilisha mipango itakayowezesha kuanza kwa utekelezaji wa Kipindi cha Pili cha Awamu yake ya TATU kufuatia uzinduzi ulio...

RAIS WA JAMHURI YA MUUNGANO WA TANZANIA DR. JOHN POMBE MAGUFULI AZINDUA KIPINDI CHA PILI CHA AWAMU YA TATU CHA TASAF.

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dr. John Pombe Joseph Magufuli amezindua rasmi kipindi cha Pili cha utekelezaji wa Awamu ya Tatu ya Mfuko wa Maende...